kilama
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 2,745
- 1,989
Jerry sio mkatoliki, ni mlutheriMwigulu na Mwinyi ni wakatoliki?
Wakatoliki ni hawa,
Bashungwa
Jerry Silaa
Kafulila
Tundu Lissu
Makonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jerry sio mkatoliki, ni mlutheriMwigulu na Mwinyi ni wakatoliki?
Wakatoliki ni hawa,
Bashungwa
Jerry Silaa
Kafulila
Tundu Lissu
Makonda
Sio kweliJerry sio mkatoliki, ni mlutheri
Mpaka 2030 tutakuwa na Katiba MpyaBila katiba mpya ni bure tu. Hamna wa kumcontrol.
Mbona umechanganya Dini hapo!Nawatajia Rais ajae,
1. Mwigulu
2. Kafulila
3. Dkt Mwinyi
Namba mbili ifute ndugu yanguMpango
Makonda
Lissu
Kafulila
Virobo mbona kama vilipigwa bannsTatizo hamsomi vizuri,
Sisi tunaongelea Rais ajae baada ya Samia,
Mwaka 2030.
2025 Uchaguzi umekwisha na Rais ni Samia.
🤣Virobo mbona kama vilipigwa banns
List yote hii ni ya wapinga wizi, Matanuzi na Ufisadi Serikalini?Mwigulu
Makamba
Jaffo
Kafulila
Majaliwa
Bashungwa
Jerry Silaa
Makonda
Tulia
Nchimbi
Makala
Biteko
Mavunde
Hawa vijana wanaweza kulisaidia Taifa kwa wakati na nafasi tofauti tofauti
Mimi nimewataja tu ila wa uhakika kabisa wanaopinga rushwa na starehe labda mmoja tu MwiguluList yote hii ni ya wapinga wizi, Matanuzi na Ufisadi Serikalini?
Sawa unaweza kututajia mahali kazuia wizi Mwigulu?Mimi nimewataja tu ila wa uhakika kabisa wanaopinga rushwa na starehe labda mmoja tu Mwigulu
Wakwepa kodi wanamjuaSawa unaweza kututajia mahali kazuia wizi Mwigulu?
Mwinyi na Kafulila kukataa na kukemea rushwa nakubali ila Mwigulu bado haijathibitikaNawatajia Rais ajae,
1. Mwigulu
2. Kafulila
3. Dkt Mwinyi
Mimi pia ni mlipa kodiWakwepa kodi wanamjua
🥲Mwinyi na Kafulila kukataa na kukemea rushwa nakubali ila Mwigulu bado haijathibitika
Nazungumzia wakwepa kodi sio walipa kodiMimi pia ni mlipa kodi