Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Huyu ndie Rais wa 2030 anayetafutwa

Dr Biteko anafaa Sana, japo kina January, Mwigulu nao wataitaka nafasi
 
Namba 23.
Hizi Mada za uraia ni upuuzi tu mtu ambaye Siyo raia anaweza vipi kuingia bungeni? Mpaka kuonwa na mamlaka ya uteuzi na kupata uwaziri??
Siamini Kama Uhamiaji wamelala kiasi hicho .Nahisi ni mambo ya kisiasa tu
 
Nafasi za juu zinafanyiwa vetting ya kiwango cha juu, Ukisimama juu ya mlima lazima uonwe na wengi
 
Vetting hiihii ambayo, tulisikia marehemu akipata uteuzi?

Au hujawahi kuona mtu anateuliwa na kutumbuliwa kabla hajaanza kazi?
 
Back
Top Bottom