Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Itawabidi waifanyie tena marekebishoSafi
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itawabidi waifanyie tena marekebishoSafi
Hata 2015 kaka ila alisusa ni generali wa zamani muasi.. wakimuachi mbunge hawezi tumia mwanya huo kufanya yakeYap na mwaka huu nae aliwania uraisi
Kabisaa na ni moja kati ya majemedari wa vita sanaNdo yy tatizo la rwasa hua akawii kwenda msituni wakimzingua
Ndio utaratibu ulivyo katiba inatoa room ya kukata rufaaa, halafu kingind nasikia amelazwaa coronaKama wamechagua raisi kwann asishike sasa madaraka wnasubiri nn mpaka mwesi wa 8.
Swali zuri Sana. Kumbuka mwezi wa 6/ 2020 kutokana na katiba yao aliteuliwa kuwa acting president baada ya bunge kuvunjwa mpaka ambapo rais atapoapishwa.Kwa hiyo hata baada ya bunge kuvunjwa bado aliendelea kuwa spika tu?
Singapore 722 km²President: Pierre Nkurunziza Trending
Capital: Gitega
Area: 27,834 km²
Population: 11.18 million (2018) World Bank
Currency: Burundian franc
Official languages: Kirundi, French, English
Region HASC ISO FIPS Population Area(km.²) Area(mi.²) Capital
Kagera TZ.KG 05 TZ19 2,458,023 28,388 10,961 Bukoba
Nchi eneo kama mashamba makubwa ya USA!
ACHA KABISAAAAAS!!!!!!Okay, najaribu kuwaza katiba yetu ingekuwa kama ya hao jamaa. Eti Ndungai ndo awe Rais!
Dah, noma sana.
Anaweza akaona hiyo ni fursa akabadili katiba ili awe Rais kabisa, nimewaza tu!Yap na mwaka huu nae aliwania uraisi