Huyu ndie Rais wa muda wa Burundi

Kwa hiyo hata baada ya bunge kuvunjwa bado aliendelea kuwa spika tu?
 
Kwa hiyo hata baada ya bunge kuvunjwa bado aliendelea kuwa spika tu?
Swali zuri Sana. Kumbuka mwezi wa 6/ 2020 kutokana na katiba yao aliteuliwa kuwa acting president baada ya bunge kuvunjwa mpaka ambapo rais atapoapishwa.

Nkurunzinza angefariki kabla ya bunge kuvunjwa spika angekuwa rais wa muda kwa mujibu wa katiba na ili kulinda kiti cha urais kisiwe wazi. Bunge lilipo vunjwa spika akateuliwa kuwa acting president, mamlaka yote ya nchi yalikuwa chini mpaka raisi aliyeshinda uchaguzi mkuu angeapishwa.
 
Singapore 722 km²

Brunei 5,765 km²

Kuwait 17,820 km2

Israel 22,145 km²

Belgium 30,689 km2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…