jiwe la majiwe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2016
- 2,537
- 1,586
Kwa hiyo unataka tujifunze nini kupitia hii thread......?Hamnaga cha kujifunza kupitia watu hawa maarufu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka tujifunze nini kupitia hii thread......?Hamnaga cha kujifunza kupitia watu hawa maarufu?
Punga mbona alioa Mara 2 Na Ana watoto
Hahahaaaaaa jf raha sanaTHE END
Mmhh!!! Baada ya hapo ikawaje!!???
Kuhusu Nini?
Ww umeonana nae
hapana sijaonana nae
Kwani hujui ulichokiandika!?
Hahahaaa....
Halafuu...
sipendi kusoma habari nusu
Kwa hiyo unataka tujifunze nini kupitia hii thread......?
Really = real
Umefika mwisho au bado unaendelea?
alikunywa maji mengi sanaMkuu nini kilitokea mpaka akawa kama mzungu?!
Au ndio mambo ya kuwa Nyani mpaka binadamu?!
Nasikia wale watoto aliwapata kwa njia ya chupa.Punga mbona alioa Mara 2 Na Ana watoto
Hahahaaa.... Anaeichukia jf akapimwe akili.Hahahaaaaaa jf raha sana
Unataka kusema alikuwa anapumuliwa?Yule jamaa mi nafikiri alikuwa punga lakini hakutaka kusema ukweli tu. Maana alionyesha dalili zote za ushoga.
Unataka kusema alikuwa anapumuliwa?
Nachompendea MJ hata kama alikuwa choko lakini alijiheshimu sana...Kungekuwa na mtu aliempumulia saa hizi angeshajitokeza, wamarekani kwa kupenda kiki. Lakini yule mjomba alikuwa na dalili zote za ushoga sema kafa na tai shingoni