Huyu ndie really Michael Jackson

Punga mbona alioa Mara 2 Na Ana watoto


Sina uhakika kama alikuwa punga lakini alionyesha na dalili zote mpaka nilikuwa simuelewi. Hizo ndoa zake mbili vilevile ndio zinanifanya nijiulize kama jamaa kweli alikuwa sawasawa, maana hazikuwa za kawaida. Watoto wote sio damu yake kabisa. Wanaume wengine walimmimbisha mkewe ndio wakazaliwa. We uoni watoto wazungu!
 
Hahahaaaaaa jf raha sana
Mmhh!!! Baada ya hapo ikawaje!!???

Kuhusu Nini?

Ww umeonana nae

hapana sijaonana nae

Kwani hujui ulichokiandika!?
Hahahaaa....

Halafuu...

sipendi kusoma habari nusu

Kwa hiyo unataka tujifunze nini kupitia hii thread......?

Really = real

Umefika mwisho au bado unaendelea?
 
Ndio Na alikufa Na bikra yake, hao wana
Nasikia wale watoto aliwapata kwa njia ya chupa.

Mambo ya Technology....hakuwakatika viuno.
Wake alikuwa hashiriki nao Bali ulikuwa Ni kupandikiza mbegu tu
 
Naona series ndo kwanza imeanza, ngoja tu wait anaza episode
 
Unataka kusema alikuwa anapumuliwa?


Kungekuwa na mtu aliempumulia saa hizi angeshajitokeza, wamarekani kwa kupenda kiki. Lakini yule mjomba alikuwa na dalili zote za ushoga sema kafa na tai shingoni
 
Kungekuwa na mtu aliempumulia saa hizi angeshajitokeza, wamarekani kwa kupenda kiki. Lakini yule mjomba alikuwa na dalili zote za ushoga sema kafa na tai shingoni
Nachompendea MJ hata kama alikuwa choko lakini alijiheshimu sana...

Mi mwenyewe nilikuwa simuelewi ila nampenda sana Michael, hasa moyo wake wa Upendo kwa watoto na watu wenye dhiki...

Nina documentary yake inaonesha maisha yake halisi jamaa alikuwa anapendwa tuache utani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…