Huyu ndie shetan wa leo aliearibu hewa

Huyu ndie shetan wa leo aliearibu hewa

mkuu maneno yako ni zaidi ya ubunge nduguyangu mungu akubariki la maana usiache kuomba aijalishi unasali kwa dini gani mungu anasikia haja za mioyo yetu mwombe mungu afichue uchafu wa nchi hii hata hao samaki nipe wiki kuna siri nkubwa wameingizwa na kigoogo mmoja serikalini na sasa anajiandaa kwa hali na mali kzuiba midomo watu na kupoteza ushahdi..lakini mungu alie hai akika atoacha kuiumbua wachafu wote wanaotafuna haki zetu na watoto wetu

soma 2kor 2:14 huu ni zaidi ya msumari

P didy huyu kigogo kwa nini ameagiza samaki japani ili hali kuna miali ya hatari na dunia nzima inalijua hili? samaki wameisha ziwa victoria, nyasa na tanganyika? nia yake ni kutuua au laba kulikuwa na madawa kwenye hayo mabox?au anataka kutuua
 
hamna pdidy usifanye hivyo akiiedit kutakuwa hakuna utamu wa Pdidy tena hapa JF.. PDIDY tumwagie kitu hivi hivi bila chenga

Saint Ivuga, you are absolutely right, kuna jinsi ya kueleza kilichomo moyoni, that is Pdidy in his true perspective .

Wazungu wanasema call a spade a spade, Pdidy ataenda mbele na kusema this is a useless spade. If it is useless its no longer a spade, for sure.

Deo has let the nation down, Down with him
 
  • Kila mtu ana style yake ya kuandika
  • wengine taaluma zao sio uhadishi au sheria so.......
Pdidy japo thread zako sometime zinautata naipenda style yako ya presentaion. Yaani zinachekesha lakini zina ujumbe mzito na wa kweli.
 
p didy huyu kigogo kwa nini ameagiza samaki japani ili hali kuna miali ya hatari na dunia nzima inalijua hili? Samaki wameisha ziwa victoria, nyasa na tanganyika? Nia yake ni kutuua au laba kulikuwa na madawa kwenye hayo mabox?au anataka kutuua

mkuu nilishaaga kulala lakini wacha nikujibu unapoona watu wanasali wanaamua kurudisha nyota zao na kuomba mungu afungue uchafu ndio huu sasa wakati wa kudai kwamungu haki yako umefika pengine kuna wabunge wanatumia mashangingi uliotakiwa kutumia weewe anza kurudisha nyota yako rudisha ndoto za utotoni kwamba utakuwa rais utakuwa diwan mbunge sasa fight 4ur destiny,,,nakwambia mengi yanakuja huyu bana nimesikia mjini kamaa msingeshtukakuna kontena kadhaa zimeshapakiwa kuja hapa ila atafanya transit kwenda sehemu natangaza kwa miale yamoto wa yesu zitakapofika bandar ya dare na makontena yote yadondokee baharini aijalishi yataondoka na wangapi na yeye aalieletwa kabla ya kuwasili hayo makontena mungu usiache kizazi chake kiendelee hata kimoja kama alivyoliza watu samaki wasumu basi sumu ile ile ikaenee kwa familia yake...nikwambie tundelee kusali hizi samaki zinatoka na mtu na ukiwa kwenye sala zakoaijalishi dini gani mwambie mungu awape uwoga hawa viongozi wetu wajue maana ya kujiuzulu ama wafukuzwe ..taja kabisa unataka nani atoke pale kwenye zile wizara..mungu ukiomba samaki akupi nyoka anatoa samaki ukiomba mkate anatoa mkate...kazikwako

alamsiki ngoja nikakumbatie na ka mama didy jamani nisijeachika
 
  • kila mtu ana style yake ya kuandika
  • wengine taaluma zao sio uhadishi au sheria so.......
pdidy japo thread zako sometime zinautata naipenda style yako ya presentaion. Yaani zinachekesha lakini zina ujumbe mzito na wa kweli.

ujamilizia tamu ...kuna mtu alini pm akikasirika na mkewe anatafuta thread zangu anaanza kucheka akiulizwa na mkewe unancheka basi kitandani kama zilikuwa tatu siku hiyo zinatokea 5 from no whr anyway nikalale niisje kumuinvoice mod wangu na uememe huu wa jenereta najua huko anashuguli ya kuwatundika watu mwezi mwezi...
Gudnty mr paw leo umenifurahisha kimoja kuna mwa wangu alitoa maneno makali nikamtania loh paw ajakuona jion nakuta umekaliakichwa chake babu kubwa mpwa paw discpline muhimu ila kwa wazee kama sisi mnatu pm tunmalizana
 
Aisee hiyo issue ni very sensitive. Ngoja nipige marufuku samaki nyumbani mpaka kieleweke maana mionzi hiyo ni kansa tupu.

Kuhusu uandishi wa P didy umenikumbusha mwalimu mmoja alikuwa anatufundisha writting skills. Alisema kuna watu wanaandika kwa ajili yao wenyewe na kuna wanaoandika kwa ajili ya readers. Cha hajabu huyo mama akasema waingereza (yeye pia ni British) wanaandika kwa ajili ya readers na akatuambia mtanipinga lakini habari ndiyo hiyo. Wale wanaoandika kwa ajili yao wenyewe wana tabia ya kufanya juu chini reader asielewe wakiamini kuwa kutokueleweka kuna uhusiano na kuwa na akili kuliko readers wako. Huyo mama alituambia kuwa aliwahi kutranslate kitabu cha ki dutch kwenda kwenye kiingereza. Baadae akamwambia professor aliyetunga kitabu kama translation iko sawa. Huyo professor akakasirika kabisa kuwa ametumia language ambayo iko soo straight.
Na alituambia kuwa wa dutch ni moja ya watu wasipenda kueleweka kwenye uandishi.

Lakini P Didy unaeleweka sana tu ila hili la leo tu ndiyo hata mimi sikukusoma.
 
kusema ukweli pdidy sikukuelewa maelezo yako.. na hizo picha zikanichanganya kabisa... nimekuja kuelewa baada kusoma michango ya wadau katika hii thread!

btw asante kwa taarifa
 
Sijafurahishwa na hili suala la kusutana nje ya bunge, kwanini hawa wabunge hawakusisitiza hoja ya dharula ya mweshimiwa Wenje isikilizwe?

Mi ningependa kujua hao samaki ni waaina gani ili tusambaze ujumbe kwa ndugu, jamaa na marafiki tukwepe kuwanunua...watakapo waozea sokoni ndio itakuwa fundisho la kutoleta hayo makontena nchini kwetu.
 
Unajua mapenzi sio lazima mpaka ufike nyumban upewe maji ya moto la haasha kuna wengine tuna mapenzi na bunge letuna kila siku tunatamani kuona mungu wakifanya kitu fulan kwa ajili ya taifapengine utakuwa unasubru taarifa ya habari kuona upuuzi aliofanya mwnyekiti wa leo akikaimu sspika wetu yaanio leopamoja na binti kiroboto kuwa na matatizo yake kwa kweli leo hii nimemkumbuka sana sana yule bibi kama si kuwa na akili wasingeruhusu ujinga uliotokea leo na kufanya sasa watoto kukataa kwenda shule wakitaka kuangalia leo kichekesho gani kinatokea bungeni.....Ndugu zangu huyu bana mnaemwina yaani huyu ndie alichafua kabisa hewa afadhali ya wengine ila kama nilivyosema tunalaumu ila ni vyema tukaomba elimu zao wengi wameingia kuptia wagnga hapo dodoma na ndio maana leo hii wamemfanya hata mama yetu rwakatare kuwa kimya sababu majini yao ni maakali na mama anafikiria kuaribu ajira aakiongea againstndugu yangu deo usitafute umaarufu utaaibika uliza hao bikira waliochaguliwa walivyokuja na kasi na leo hiio hata kuongea awaonge tenaaaa soma nyakati kaka yangu utakuja juta
Hivi ukiandika kiswahili kinachoeleweka unajionaje? Hii ni nini unaeleza kimafumbo unamuogopa nani humu.Labda umekua kimafumbo kijinsi hii unataka watu wamependa post yako waaribu fikira neno baada ya neno
 
Back
Top Bottom