Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Heshima inajengwa kwa muda mrefu sana lakini kuibomoa ni suala la dakika 0 tu. Huyu mzee binafsi nilishamdharau kitambo sanaKabudi arudi ud kufundisha law, heshima yake irudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima inajengwa kwa muda mrefu sana lakini kuibomoa ni suala la dakika 0 tu. Huyu mzee binafsi nilishamdharau kitambo sanaKabudi arudi ud kufundisha law, heshima yake irudi
Hapo zamani za kale alikuwepo Profesa mahiri na msema kweli.
Aliwahi kuzungumza ukweli kuhusu Tanganyika na kuwa ipatikane sasa kwa hiari isisubiri kama yule Rais wa Romania.
View attachment 2984444
Dawa hii kule Madagascar anaigawa Rais mwenyewe" by Profesa Kabudi.Akili ya Kabudi iliharibuwa na kikombe cha dawa ya kiasili ya korona toka Madagascar
Hilo zee lilivyokuwa la hovyo lilidhani Magufuli hawezi kufa, likatutaka watu tukae kimya kwa mheshimiwa mungu Magufuli.Heshima inajengwa kwa muda mrefu sana lakini kuibomoa ni suala la dakika 0 tu. Huyu mzee binafsi nilishamdharau kitambo sana
Hapo anakunywa kile 'kikombe' cha Madagascar alichotumwa na jiwe?Kabudi ametia aibu sana, na mama kwenye cabinet yake amemtema hataki kukaa na mnafki kama Kabudi.
View attachment 2984350