Hilo zee lilivyokuwa la hovyo lilidhani Magufuli hawezi kufa, likatutaka watu tukae kimya kwa mheshimiwa mungu Magufuli.
Akaendelea kutuona wote ni wajinga wenzake eti alipokuwa UN New York katibu mkuu wa UN ndio alikuwa anahangaika kuomba appointment ya kuonana na Kabudi, liongo sana hili zee.