Nasemaga cku zote.......kumfananisha king na ronaldo ni kupoteza muda tu na MB zinaenda buree pacpokuwa na adv yoyote. Ki2 kinajulikana wazi kabissa hata mtoto aliyeko tumboni mwa mama yake anatambua fiika MESSI hana mpizani. MARADONA na KIPELE washafunikwa ile mbaya.
Ferguson na Figo waliyasema lini hayo?Nyie ni vilaza kweli kwahiyo tokaa awe mfungaji bora mara 5 mfululizo ndo atakuwa bora kuliko Messi? mbona Cr7 toka aje spain 2009 ameshinda laliga mara 2 tu...mbona hilo Hamsemi?? Mbona messi kashinda 4 consecutive ballon dor nalo hilo hamsemi?? Mbonaa Messi amemshinda Ronaldo El classico Nyingi Nalo Hamsemi?? Mbona rate ya ufungaji ya Messi ni 0.8 per match na Cr7 ni 0.7 Mbona Hilo Hamsemi??
Finally ata Malegend wa soka washasema Messi is Best More than Ronaldo.....kamsikilize Ferguson....wenger...zidane....Figo... De Lima na wengine Kibao tena wote ni wanaojua mpira kuliko ata sisi...!
ila CR7 ni wanawake wengi wamejitokeza wakidai kwamba ni bora Kuliko MAGICAL MESSIAH1
[HASHTAG]#Gongelea[/HASHTAG] na Nyundo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo ratio ya UEFA au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hyo ratio ya UEFA au
Tatizo kuna Huyu sijui [HASHTAG]#Pioneer[/HASHTAG] anazungumza bila Data mwenzio [HASHTAG]#Figo[/HASHTAG] anasema akimuona Messi anacheza anapata raha kama vile anapiz akasema ni Mchezaji Bora kuwahi kutokea kuhusu [HASHTAG]#Fergie[/HASHTAG] tizama [HASHTAG]#Youtube[/HASHTAG] utajaa muonaa Mzee akisema Huku Akitetemeka.............so muwe mnakuja na Data sio Mnashabikia kwa Mihemko tu.
Finally Hakuna Asiyejua kwamba [HASHTAG]#MESSI[/HASHTAG] is the Best Player Ever Created By God!
Ronaldo ni monster, hutaki acha!
GENTAMYCINE.