Pionaire
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 1,603
- 1,135
- Thread starter
- #61
Nasemaga cku zote.......kumfananisha king na ronaldo ni kupoteza muda tu na MB zinaenda buree pacpokuwa na adv yoyote. Ki2 kinajulikana wazi kabissa hata mtoto aliyeko tumboni mwa mama yake anatambua fiika MESSI hana mpizani. MARADONA na KIPELE washafunikwa ile mbaya.
Hahaha!...ulisema Uzi hauna mchangiaji but ulishachangia na unaendelea kuchangia, Duh!..huyo king bila [HASHTAG]#Facts[/HASHTAG].