Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Ngoja waje wakuu, nina imani watatusaidia kuhusu hilo la picha mkuu.Weka picha
Basi sawa mkuu.Nadhan hio fasihi mkuu kuna kitu. Ngoja waje wajuvi
Ndege mwanga [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fundi chuma
*Na kiota chake anajenga kwa kudonoa na mdomo, katikati ya mti mkubwa, na kiota chake kina uwezo wa kufikiwa na nyoka tu, ndio adui wake mkubwa na kiota chake, anakitengeneza na udongo wa kwenye maji ya bwawani, na akizaa watoto, mlango wa kiota chake anautengeneza vizuri hata adui wake mkubwa nyoka aingii kwenye kiota chake huyo ndio fundi chuma.Ndio ndege anayejenga kiota kikubwa kuliko ndege wote
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Ahsante mkuu tuko pamoja ...
Sio mchezo mkuu.Scopus umbretta