Huyu ndio fundi chuma...

Huyu ndio fundi chuma...

Nguvu moja

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2017
Posts
3,371
Reaction score
2,713
Ndege mwenye maajabu kushinda ndege wote ulimwenguni, nyumba yake anayolala...kaijenga kati kati ya shina la mti, mfano mti wa mbuyu katoboa pango, mule na ukibahatika kuona nyumba yake, anayolala utakutana na mauzauza huko, ya shanga, nywele za binadamu Nk: mpaka sisi baadhi yetu, ukiondoa bundi wanasema "ndege mchawi, huyo ndio "NDEGE FUNDI CHUMA" NB...kama yupo mwingine anaejua maajabu ya fundi chuma, aendelee kutupa taarifa zake wakuu...
 
Mods naomba mnilindie uzi wangu wakuu.
 
Mwenye picha yake wakuu atupatie tafadhali.
 
af62f220e9d1bbe28f176b54a4c45ec8.jpg
 
Ndio ndege anayejenga kiota kikubwa kuliko ndege wote
*Na kiota chake anajenga kwa kudonoa na mdomo, katikati ya mti mkubwa, na kiota chake kina uwezo wa kufikiwa na nyoka tu, ndio adui wake mkubwa na kiota chake, anakitengeneza na udongo wa kwenye maji ya bwawani, na akizaa watoto, mlango wa kiota chake anautengeneza vizuri hata adui wake mkubwa nyoka aingii kwenye kiota chake huyo ndio fundi chuma.
 
Back
Top Bottom