Huyu ndio fundi chuma...

Fundi chuma hatoboi mtii kaka hayo mengine yote ni sawa anaetoboa mti ni huyo ndege mdogo hapo woodpecker
 
Fundi chuma hatoboi mtii kaka hayo mengine yote ni sawa anaetoboa mti ni huyo ndege mdogo hapo woodpecker
Ulizia tu kaka kwa wajuzi, wanaomuelewa vizuri watakwambia, kuwa anatoboa mti na kufanya kuwa kiota chake kaka.
 
Mkuu hawa ndege ni wawili tofauti kabisa angalia hizo picha vizuri halafu kuhusu kabila
natumia lugha ya taifa peke yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Fundi chuma hatoboi mtii kaka hayo mengine yote ni sawa anaetoboa mti ni huyo ndege mdogo hapo woodpecker
Ngoja wanaomfahamu vizuri, kuliko mimi waje watudavulie vizuri kaka.
 
Zamani ssaaana nimelisikia hili jina... Mleta nyuzi umenirudisha miaka mingi sana nqkumbuka huwa kama ana kichogo hivi fundi chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…