enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Uzi huu bila picha ni majungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijachanganya mkuu fundi chuma anatoboa mti, tobo na kutengeneza kiota chake, akichanganya na udongo, kwenye kiota chake kama nilivyoeleza, utakutana na nywele za binadamu, shanga, hadi baraghashia, na bado anawalinda watoto wake humo ndani ya kiota chake akiwa, ayupo ameenda kuwatafutia chakula, watoto wake hakuna adui atakaeingia humo mlangoni kwenye kiota anatengeneza kufuri la lililochanganywa na tope na majani ya nyasi mkuu.
Ulizia tu kaka kwa wajuzi, wanaomuelewa vizuri watakwambia, kuwa anatoboa mti na kufanya kuwa kiota chake kaka.Fundi chuma hatoboi mtii kaka hayo mengine yote ni sawa anaetoboa mti ni huyo ndege mdogo hapo woodpecker
Angalia vizuri picha zipo mkuu.Uzi huu bila picha ni majungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hawa ndege ni wawili tofauti kabisa angalia hizo picha vizuri halafu kuhusu kabila
natumia lugha ya taifa peke yake
Ngoja wanaomfahamu vizuri, kuliko mimi waje watudavulie vizuri kaka.Fundi chuma hatoboi mtii kaka hayo mengine yote ni sawa anaetoboa mti ni huyo ndege mdogo hapo woodpecker
Ngoja wanaomfahamu vizuri, kuliko mimi waje watudavulie vizuri kaka.
Sio mchezo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Jf kiboko yao.
Sawa mkuu..Kiota cha fundi chuma hicho
Hatari sana mkuuNi hatari
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uzi huu bila picha ni majungu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fundi mangungu huyo
Karibu mpendwaEwaaaaaaaah
Nilikumiss ndugu yanguuu aghghKaribu mpendwa
Me to mpendwaNilikumiss ndugu yanguuu aghgh