Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Manchester united kwa mkopoYuko wapi siku hizi?
Very disappointing answer.Manchester united kwa mkopo
Mh mnaojua kizungu mnafaidiVery disappointing answer.
π€£π€£π€£π€£Manchester united kwa mkopo
Jamaa alikuwa bonge la bekiUmenikumbusha mbali sana. [emoji120]
Walikuwa kama mapacha,wote walitokea Tukuyu Stars BanyambalaDuu kuna kipindi late 1990s nilikuwa nawaona maeneo ya kurasini yeye na salum kabunda
Dar na VwawaYuko wapi siku hizi?
Ila wewe jamaa wewe daaaah.Manchester united kwa mkopo
Kwa mujibu wa mziray,hakuwa na ball control nzuri,Ila alifanya kazi yake ilasavyoHuyu jamaa alikuwa kitasa cha ukweli, kwanza alikuwA na kifua kikubwa, msuli ulio shiba na mapafu ya mbwa!
Scania Double DiffHuyu jamaa alikuwa kitasa cha ukweli, kwanza alikuwA na kifua kikubwa, msuli ulio shiba na mapafu ya mbwa!