PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
...na jina lake likabaki nchini kwa kulihamishia kwa James Tungaraza 'Bolizozo', baada ya kuwafunga Simba katika mechi dhidi ya Yanga.Hapo ndipo Bolizozo wa Stella Abdijan alivyokuja kua maarufu hapa bongo.