Huyu ndio Godwin Aswile (Scania)

Godwin Aswile Scania alisifika sana Kwa Mapafu ya Kurusha Mpira,
Anawwza Kurusha Mpira Toka Katikati ya Uwanja Hadi Golini Kwa Timu Pinzani na Mpira Ukiwa juu juu ![emoji3516][emoji851]
 
Godwin Aswile na Thomas Kipese walichezea Simba msimu wa 1993 baada kutimuliwa Yanga kwa tuhuma za rushwa.

Hata hivyo, wakiwa Simba mwaka huo walichezea mechi za kimataifa pekee.

Maana wakati wanatua Simba tayari dirisha la usajiri kwa ligi ya ndani lilishafungwa.

Aswile na Kipese walitoa mchango mkubwa kwa mafanikio ya Simba kimataifa mwaka huo.

Mwaka 1993 ndiyo mwaka ambao Simba ilifika fainali Kombe la CAF ikiwa na kikosi kilichojaa vipaji akiwemo Godwin Aswile Mlimba.
 
Tumewamiss sana mabeki makatili kama hawa!!mabeki wetu siku hizi nyoronyoro sana!!Godwin Aswile Scaniaa
 
Halafu kulikuwa na beki wa kushoto wa Simba anaitwa Michael Kidilu kutoka Igoma (Dar es Salaam Ndogo) kwa walima viazi chips alikuwa wamoto ni balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…