Huyu ndio Godwin Aswile (Scania)

Those were the days when football was football, The Man from Lyenje Ikuti, Olafu Mwamlima alifuata nyayo za huyu Bro nikiwa katoto enzi hizo sijaanza hata primary, nikiwa na wazazi kiwira magereza afande mtoto wa afande. Asante kwa uhai Mungu.
 
Halafu kulikuwa na beki wa kushoto wa Simba anaitwa Michael Kidilu kutoka Igoma (Dar es Salaam Ndogo) kwa walima viazi chips alikuwa wamoto ni balaa.
Michael Kidilu amekuja Simba msimu wa 1987 akitokea Tukuyu stars akiwa pamoja na kiungo wa chini Aston Pardon.
Hata hivyo Kidilu alipata tabu sana kumiliki beki ya kushoto, maana Twaha Hamidu alitawala vilivyo upande huo.
Msimu huu Simba ilikuwa na kikosi kikali, ingawa hujuma za baadhi ya matajiri wa timu hiyo zimepelekea kunusurika kushuka daraja.
 
Kumbukumbu mujarab kabisa
 
Duu kuna kipindi late 1990s nilikuwa nawaona maeneo ya kurasini yeye na salum kabunda
Walikua wanaishi huko. Walikua wakiishi nyumba moja then wakagawanyika kutafuta space zaidi kwa ajili ya uhitaji wa nafasi.
 
Lakini ahadi ya Kia si ilikuwa wakichukuwa kombe la CAF? Au mimi ndio nimesahau?
Yeah,
Ilikua motisha au ahad hewa. Baada ya kuona inaenda kutimia mtoa ahadi ikabid afanye figisu tukose kombe ili asiingie gharama za KIA 30
 
Yeah,
Ilikua motisha au ahad hewa. Baada ya kuona inaenda kutimia mtoa ahadi ikabid afanye figisu tukose kombe ili asiingie gharama za KIA 30
Acheni porojo bwana, la sivyo tupe ushahidi. Simba walifungwa kihalali kabisa na Stella Abidjan kwani wachezaji wa Simba akina Rashid Abdallah, George Masatu, Dua Said, Edward Chumila na wengine walikuwa wameshikwa sana na kihoro na kupanik sana.
 
Kweli kabisa.
 
Mbona jsmaa kachsngamsha uzi tu wakuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…