Huyu ndio Godwin Aswile (Scania)

Hapo ndipo Bolizozo wa Stella Abdijan alivyokuja kua maarufu hapa bongo.
...na jina lake likabaki nchini kwa kulihamishia kwa James Tungaraza 'Bolizozo', baada ya kuwafunga Simba katika mechi dhidi ya Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…