Huyu ndio Ibrahim Pasha wa Tamthilia ya Sultan

Huyu ndio Ibrahim Pasha wa Tamthilia ya Sultan

Ibrahim Pasa a.k.a Pasha anajua aisee ata uigizaji wake na majibu yake tu inaonyesha kweli izo shahada anazitendea kazi...
 
Namkubali hasa kukiwa na jambo anaambiwa anaishia kuitikia name kuguna mmmh et eeh[emoji16][emoji16]
 
Naam sultan imeteka watu wan jinsia zote sio midume sio wake naona kuna mibaba nayo humu inajiita team hurlem,mke wangu leo ndo mwisho wa kunilazimisha niangalie haya mambo kuanzia kesho nikirudi home nikute remote nimetengewa kabisa nataka niangalie mapambano ya UFC mimi usinlazimishe kuangalia huu umama,nadhani umeshanisikia maana upo humu..
 
kUtoboa kwako sikio tu inaonyesha wewe ni mtu wa aina gani
 
43779435_310074916249317_2770822063005435852_n.jpg
 
Khadije kaingia kwenye vita asiyo iweza
 
Ibrahim pasha vyeo alivyopewa anavitumia ndivyo sivyo bila sultan kujua ni mwanajeshi mwenye mabavu, anatakiwa awe makini sana kwakua hurrem na eskanda cherebi wanamikakati ya kumwondoa duniani
 
Tz waigizaji wengi Std 7 na fm4 failure hafu tutegemee wataigiza kama waturuki, au wakorea au waphilipino, nazani Sana'a ya Tz haitakuja kukuwa.
Wabongo hakuna mwenye shule ya sanaaa.
Wabaigiza pumba tuu
 
Wanaume wa Dar wote hapa!
hii tamthilia sio wanaume wa dar pekee yao, ni tanzania nzima na watz waishio nje ya nchi.

kuna familia za watanzania zinazoishi huko middle east, europe na america wanaifatilia sana tamthilia hii kupitia application ya azam tv.

huwa wanatuma sana maoni kupitia uongizi wa azamtv.

sultan ni habari nyingine.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Uyu jamaa amr dead kweli au ka dead ki maigizo?
 
Back
Top Bottom