kama sio hivi vipodozi tuko wengi
Shoga za Mwaka mpya!!Mhu ndio wifi huyu!Mhuuu haya kama kaka kapenda sasa tufanyeje...Ndio yeye mahaba mahabani insta kumewaka
Shoga za Mwaka mpya!!Mhu ndio wifi huyu!Mhuuu haya kama kaka kapenda sasa tufanyeje...
Ni kweli...Hahahaa, wifi huyu mie sina shida nae ukipenda boga shurti upende na ua lake bibie