Huyu ndio mchumba/mpenzi wa King Ali Kiba

Huyu ndio mchumba/mpenzi wa King Ali Kiba

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam Wanajamvi Happy New year 2015!.

Ni wazi JF ni zaidi ya Google pengine hata detail za shetani haziwezi kosekana humu! Ali Kiba ni mmoja ya wasanii ambao wanajiheshimu na hawapendi kuhusisha maisha yao ya kimahusiano na kazi ya Muziki!

Hili swali liko kwenye mfumo wa Tetesi Huyu ndiye Mchumba/Mpenzi wa Ali Kiba?

Na ni matunda ya Europe Tour?na Yule aliyezaa nae ni yupi?

Karibuni wana Jamvi!

1420256363856.jpg
wp_ss_20150617_0012.png
 
Aiseeee!!! nahisi hata kwa bure,Kiba 4 real hawez kutoka naye… mbaaayaaaaa!!!
 
Kheee huyu dadake dayamondii nini mbona wamefanana sana midomo
 
Back
Top Bottom