Dah mbaya sana uyu dem
ndio mwenyewe shemeji yetu?
Wewe ndio umeleta picha halafu unatuuliza sisi? Sioni cha kujadili.
hapana kwa kweli mi nampenda sana kiba ila kwa huyuuuu
big noooooo kkkaaaahh
kwanza kakaa kiswazi sana yani dah
king hapa nooooo
hapana kwa kweli mi nampenda sana kiba ila kwa huyuuuu
big noooooo kkkaaaahh
kwanza kakaa kiswazi sana yani dah
king hapa nooooo
Kiba hawezi mdate mbibi kama huyo,sitaki kuamini na wala sitaki kuaminishwa!
Umeona best eeh?Kiba ni mwanaume smart anatakiwa kuwa na mwanamke classic sio type hii ya kiswazi.
Mmchumba mbaya hivyo lol
Mi napita
Sitaki kukubali..kiba na huyu???