Huyu ndio mchumba/mpenzi wa King Ali Kiba

Huyu ndio mchumba/mpenzi wa King Ali Kiba

kama.. sijui nini vile apo akiowa kabisa na nyota ya aliy k ndo inapotea kabisa...
 
Pengine ni mzungu
attachment.php


huyu ni ngozi yake au mwafrika halisi
 
Wewe ndio umeleta picha halafu unatuuliza sisi? Sioni cha kujadili.

Mkuu ukisoma kichwa cha habari utaona nimeandika tetesi na pembeni kuna alama ya kuuliza. JF ni zaidi ya google bila shaka hilo halina ubishi ndio maana nimeleta hapa kupata ukweli maana nilikuta sehemu wana jadili na sikuona kama wana uhakika nikaona si vibaya kuleta hapa jamvini kupata ukweli kama tunavyo pata kwa watu wengine.
 
Mmmhhhh cream imepita hapa kwa kweli loo sitaki kuamini ktk hili alikiba bana daaaa
 
hapana kwa kweli mi nampenda sana kiba ila kwa huyuuuu
big noooooo kkkaaaahh
kwanza kakaa kiswazi sana yani dah
king hapa nooooo
 
Kiba hawezi mdate mbibi kama huyo,sitaki kuamini na wala sitaki kuaminishwa!
 
hapana kwa kweli mi nampenda sana kiba ila kwa huyuuuu
big noooooo kkkaaaahh
kwanza kakaa kiswazi sana yani dah
king hapa nooooo

Umeona best eeh?Kiba ni mwanaume smart anatakiwa kuwa na mwanamke classic sio type hii ya kiswazi.
 
Kiba hawezi mdate mbibi kama huyo,sitaki kuamini na wala sitaki kuaminishwa!

Dah hta mm km wewe ctaki kabisa Kuamini yaani uhandsome wote wa kiba ndo aishie hapa
 
Back
Top Bottom