Huyu ndio mlevi
1: Akipata kazi ANALEWA
2: Akifukuzwa kazi ANALEWA
3: Akioa ANALEWA
4: Akiachika ANALEWA
5: Akifurahi ANALEWA
6: Akichukia ANALEWA
7: Akipandishwa cheo ANALEWA
8: Akishushwa cheo ANALEWA
9: Akijenga nyumba ANALEWA
10: Akinunua gari ANALEWA
11: Akipata ajali ANALEWA
12: Akipata mtoto ANALEWA
13: Akifiwa ANALEWA
14: Akisifiwa ANALEWA
15: Akikosolewa ANALEWA
16: Akishiba ANALEWA
17: Akiwa na njaa ANALEWA
18: Timu yake ikishinda ANALEWA
19: Timu yake ikishindwa ANALEWA
LABDA AFE NDIO HATALEWA[emoji16][emoji16][emoji16]