Huyu ndio mlevi...

Huyu ndio mlevi...

supasonic

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
356
Reaction score
309
Huyu ndio mlevi

1: Akipata kazi ANALEWA

2: Akifukuzwa kazi ANALEWA

3: Akioa ANALEWA

4: Akiachika ANALEWA

5: Akifurahi ANALEWA

6: Akichukia ANALEWA

7: Akipandishwa cheo ANALEWA

8: Akishushwa cheo ANALEWA

9: Akijenga nyumba ANALEWA

10: Akinunua gari ANALEWA

11: Akipata ajali ANALEWA

12: Akipata mtoto ANALEWA

13: Akifiwa ANALEWA

14: Akisifiwa ANALEWA

15: Akikosolewa ANALEWA

16: Akishiba ANALEWA

17: Akiwa na njaa ANALEWA

18: Timu yake ikishinda ANALEWA

19: Timu yake ikishindwa ANALEWA

LABDA AFE NDIO HATALEWA[emoji16][emoji16][emoji16]
 
IMG_20210309_073448.jpg
 
Mlevi[emoji482] hakuna namna la
Zima ufe!
 
Akichukua mkopo Benki.............................
 
Asili ya pombe ni kwamba hutumiwa pindi mtu akifurahi sana au akiwa na majonzi sana
 
Back
Top Bottom