sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Je unamzungumziaje Aslay, Ukizingatia wote walikuwa kundi moja awali?akiimba kwa pamoja namsikia marijani rajabu namskia issa matona namskia ali star namskia abdul misambano namskia franco makiadi.
aslay mm nahisi kuna 'walioshika kisu kwenye mpini' amepishana nao kidogo thats why ana hustle sana ila figisu nyingiJe unamzungumziaje Aslay, Ukizingatia wote walikuwa kundi moja awali?
Nini unamshauri aslay aboreshe ili asonge mbele zaidi?
Je unamzungumziaje Aslay, Ukizingatia wote walikuwa kundi moja awali?
Nini unamshauri aslay aboreshe ili asonge mbele zaidi?
Mbosso Khan sijui mhindi wa kibiti.. ujinga wa watu weusi na inferiority complex unastaajabisha, kila siku wanapamba kwa kila namna iwe rangi, majina, muonekano, tabia ili wafanane na weupe. Smdh
aslay branding na marketing inamsumbua coz km mashabiki anao wengi sana... hakuna chombo chá habari hakipigi Nyimbo za aslay tofauti na mwenzake hapigwi kwenye média zote kubwa bongo anategemea social media kupromit kazi zakeaslay mm nahisi kuna 'walioshika kisu kwenye mpini' amepishana nao kidogo thats why ana hustle sana ila figisu nyingi
Sijaongelea kutangulia au kuwa nyuma, nimeongelea ujinga wa kiwango cha lami na inferiority complex inayowasumbua watu weusi popote duniani.weupe walishatangulia lazma tukubali
wanamwita mbosso khan au mhindi wa kibiti... anaitwa mhindi au khan sababu ya hisia zake za kweli anapoimba akawii kumwaga machozi.
ndio msanii bora kabisa kwenye bongofleva zama hizi anayeweza kuimba live na kucheza na vyombo. kwa sasa ukizungumzia live hakunaga kama mbosso.
akiimba kwa pamoja namsikia marijani rajabu namskia issa matona namskia ali star namskia abdul misambano namskia franco makiadi.
hatari sana mbosso. utaki unaacha
WCB ni Kubwa kuliko hizo media mbiliaslay branding na marketing inamsumbua coz km mashabiki anao wengi sana... hakuna chombo chá habari hakipigi Nyimbo za aslay tofauti na mwenzake hapigwi kwenye média zote kubwa bongo anategemea social media kupromit kazi zake
AboresheJe unamzungumziaje Aslay, Ukizingatia wote walikuwa kundi moja awali?
Nini unamshauri aslay aboreshe ili asonge mbele zaidi?