Huyu ndio msanii bora kabisa kwa sasa wa bongofleva fundi wa kuimba live

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

wanamwita mbosso khan au mhindi wa kibiti... anaitwa mhindi au khan sababu ya hisia zake za kweli anapoimba akawii kumwaga machozi.

ndio msanii bora kabisa kwenye bongofleva zama hizi anayeweza kuimba live na kucheza na vyombo. kwa sasa ukizungumzia live hakunaga kama mbosso.

akiimba kwa pamoja namsikia marijani rajabu namskia issa matona namskia ali star namskia abdul misambano namskia franco makiadi.

hatari sana mbosso. utaki unaacha
 
Je unamzungumziaje Aslay, Ukizingatia wote walikuwa kundi moja awali?

Nini unamshauri aslay aboreshe ili asonge mbele zaidi?
 
aslay mm nahisi kuna 'walioshika kisu kwenye mpini' amepishana nao kidogo thats why ana hustle sana ila figisu nyingi
 
Mbosso Khan sijui mhindi wa kibiti.. ujinga wa watu weusi na inferiority complex unastaajabisha, kila siku wanapamba kwa kila namna iwe rangi, majina, muonekano, tabia ili wafanane na weupe. Smdh
 
Aslay yupo vizuri sana tatizo lake lipo kwenye branding anakosea hapo tu, aslay ana muziki wake ambao akisimama umo ni bonge la fundi nae.. anaruka ruka sana mara reggae mara bongofleva anapoteza focus mwishoe.
 
Mbosso Khan sijui mhindi wa kibiti.. ujinga wa watu weusi na inferiority complex unastaajabisha, kila siku wanapamba kwa kila namna iwe rangi, majina, muonekano, tabia ili wafanane na weupe. Smdh

weupe walishatangulia lazma tukubali
 
aslay mm nahisi kuna 'walioshika kisu kwenye mpini' amepishana nao kidogo thats why ana hustle sana ila figisu nyingi
aslay branding na marketing inamsumbua coz km mashabiki anao wengi sana... hakuna chombo chá habari hakipigi Nyimbo za aslay tofauti na mwenzake hapigwi kwenye média zote kubwa bongo anategemea social media kupromit kazi zake
 
weupe walishatangulia lazma tukubali
Sijaongelea kutangulia au kuwa nyuma, nimeongelea ujinga wa kiwango cha lami na inferiority complex inayowasumbua watu weusi popote duniani.

Leo weusi wanajichubua wawe wazungu, mwingine anajikuta mzungu kwa tabia na muonekano, mwingine anajiita Khan na kama haitoshi anajiita mhindi kabisa. Huu Kama sio uzwazwa I don't know what is

Kuna mhindi/mzungu anajiita muafrika au kutumia jina la kiafrika?
 
wanamwita mbosso khan au mhindi wa kibiti... anaitwa mhindi au khan sababu ya hisia zake za kweli anapoimba akawii kumwaga machozi.

ndio msanii bora kabisa kwenye bongofleva zama hizi anayeweza kuimba live na kucheza na vyombo. kwa sasa ukizungumzia live hakunaga kama mbosso.

akiimba kwa pamoja namsikia marijani rajabu namskia issa matona namskia ali star namskia abdul misambano namskia franco makiadi.

hatari sana mbosso. utaki unaacha
 
aslay branding na marketing inamsumbua coz km mashabiki anao wengi sana... hakuna chombo chá habari hakipigi Nyimbo za aslay tofauti na mwenzake hapigwi kwenye média zote kubwa bongo anategemea social media kupromit kazi zake
WCB ni Kubwa kuliko hizo media mbili
 
Back
Top Bottom