BOT iko kikatiba na kisheria hivyo hilo la raisi kuifuta bila kubadili vifungu vya kikatiba hana ubavu huoWewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
Hivi kumbe Daud Balali hakuwa Gavana?Gavana wa Benki Kuu, huyu ndiye Kiongozi pekee unaweza hata kusema ana nguvu sawa na Raisi wa JMTZ, ingawaje anateuliwa na Raisi wa JMTZ lkn ana nguvu zisizo onekana, huko kwingine koote Raisi wa JMTZ anaweza kuteua na kupindua atakavyo ila kwa Gavana wa Benki ni breki!
Na ukitaka regime change, jaribu kugusa Gavana wa Benki KUU, ...
For the avoidance of doubt ilibidi uainishe ni Mkuu wa Mkoa gani huyo?Mhhh,inamaana huyo Gavana ana nguvu kubwa na anaogopwa kuliko mkuu wa Mkoa?ebu kuweni serious nyie..!mie nawambia mtu ambaye hawezi kuguswa na mtukufu ni "MKUU WA MKOA" tu basi.Wengine tupa kule!
Ur geniusCheo cha jaji mkuu ndo akiwezi maana akiteua hawezi tena kutengua
Anajulikana mkuu so haina aja ya kujitakia matatizo ya kupimwa mkojo kwa lazima.For the avoidance of doubt ilibidi uainishe ni Mkuu wa Mkoa gani huyo?
Si wanaamka kila uchao na mkakati mpya wa kumvuruga au kumchanganya rais kwa matarajio ya kumtoa relini.Wewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.