Huyu ndio mtu pekee Rais wa Jamhuri hawezi gusa!

Wewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuse kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
"Siuze" nadhani ulikuwa na maana ya kutumia neno hili. Asante
 
Wewe dada Barbarosa, unarukwa si bure. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kikatiba, anaweza hata kuifuta Benki Kuu ya Tanzania. Seuze kumtumbua Gavana!? Masuala usiyoyajua si vyema ukayaletea porojo.
Mwambie afiche ujinga wake, kuliko alivouanika uchi kabisa[emoji16] [emoji16]
 
Hujui chochote
 
Naona umeanza kutumia dawa, taratibu tu utapona
 
Tusi mbese mleta thread kuna mahali nilisha wahi kusoma kitu kama hiki cha mleta thread, ila hajaweza kuielezea kwa undani zaidi....

Kuna baadhi ya nchi ambazo hazipo kwenye huo mfumo wa kuteuliwa magavana, ile ya rais kuteuwa ni kiini macho macho tu tayari alisha andaliwa na wamarekani na ni lazma uwe umepitia kwenye vile vyuo vyao

Ilisha wahi kujadiliwa hapa jf ngoja nitafuta link nitaiweka hapa
 
Kwa uelewa wangu na kwa mujibu wa katiba mtu pekee ambaye raisi ni vigumu kumfukuza kazi mpaka ashauria na majaji kama sita hivi wa nchi za madola ni CAG-Mkaguzi na mdhibiti wa mahesabu ya serikali.
Soma ibara ya 143 na 144 kama sijakosea.
Upo vizuri jombii
 
Nahisi ni jaji Mkuu ndo vigumu kumfukuza hadi majaji wa jumuhiya ya madola walizie,
 
Nilitarajia utaje kifungu cha Sheria/Katiba kinachomzuia Raisi asifanye hivyo kumbe koote ni porojo tu na sound za kufikilika.
 
Hoja za kipumbavu na kilofa. Zunga Lako!,
 
Makubwa hili jipya eti Rais wetu amteue Gavana ila Washgiton ndio waseme anafaa ?Weka ushahidi tufahamu zaidi ,hawezekanj uteuxi ufanyike TZ uidhinishaji uwe wa nje ya Mipaka yetu binafsi nipe ushahidi usiotia shaka kuhusu hilo uliloandika
 
Mhhh,inamaana huyo Gavana ana nguvu kubwa na anaogopwa kuliko mkuu wa Mkoa?ebu kuweni serious nyie..!mie nawambia mtu ambaye hawezi kuguswa na mtukufu ni "MKUU WA MKOA" tu basi.Wengine tupa kule!
Sio miko yote lakini
 
Mhhh,inamaana huyo Gavana ana nguvu kubwa na anaogopwa kuliko mkuu wa Mkoa?ebu kuweni serious nyie..!mie nawambia mtu ambaye hawezi kuguswa na mtukufu ni "MKUU WA MKOA" tu basi.Wengine tupa kule!
Mkuu wa mkoa wa Tanga au yule Gamboshi wa Arusha.?au yule mwana mpendwa kaka yake Mange Kimambi?
 
Mhhh,inamaana huyo Gavana ana nguvu kubwa na anaogopwa kuliko mkuu wa Mkoa?ebu kuweni serious nyie..!mie nawambia mtu ambaye hawezi kuguswa na mtukufu ni "MKUU WA MKOA" tu basi.Wengine tupa kule!
Tena mkoa wenyewe ni wa Dar tu.
 
Huu uchafu wako peleka chooni utupe kwenye tundu la chooo ,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…