Huyu ndio mtu pekee Rais wa Jamhuri hawezi gusa!

Sikufahamu hayo kabla ya kusoma kisa hicho eeeheee!!!!
 
Mhhh,inamaana huyo Gavana ana nguvu kubwa na anaogopwa kuliko mkuu wa Mkoa?ebu kuweni serious nyie..!mie nawambia mtu ambaye hawezi kuguswa na mtukufu ni "MKUU WA MKOA" tu basi.Wengine tupa kule!
wakuu wa mikoa Atagusa hata wote ila wa dar es salaam hapo ndo break yake jpm
 
Si wanaamka kila uchao na mkakati mpya wa kumvuruga au kumchanganya rais kwa matarajio ya kumtoa relini.
So tusiwashangae sana hawa ni kawaida yao.
Anyway mbona hawaongelei ACACIA tena?
Au ndio mpaka TL apone?[emoji188] [emoji125]

Mkuu hujui kuwa Barbarosa ni CCM kindakindaki au unafanya kusudi?
 
Mkuu umemwombea mabaya Gavana Ndullu. Sasa ametumbuliwa
 
Kwa uelewa wangu na kwa mujibu wa katiba mtu pekee ambaye raisi ni vigumu kumfukuza kazi mpaka ashauria na majaji kama sita hivi wa nchi za madola ni CAG-Mkaguzi na mdhibiti wa mahesabu ya serikali.
Soma ibara ya 143 na 144 kama sijakosea.
Pia judge wa mahakama kuu mkuu.
 
Kwa hiyo na huyu Professa Luoga Magufuli ameenda kuwaomba wazungu ili achukue nafasi na Professa Ndulu ???

Hizi hadithi huwa mnazipata wapi wewe Barbarosa ???
Yaani kwa uchumi gani hadi Raisi aogope kumgusa Gavana wa fedha ???
 
Uzi wako umekaa kifikla not realistic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…