Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Baada ya nazi kukamuliwa hubaki machicha!
Mpishi huyatupa hayo machicha jalalani
Na baada ya machicha kutupwa kuku huona wamepata bahati ya mtende!
Muacheni jamaa ajilie machicha yake kwa raha zake
 
Baada ya nazi kukamuliwa hubaki machicha!
Mpishi huyatupa hayo machicha jalalani
Na baada ya machicha kutupwa kuku huona wamepata bahati ya mtende!
Muacheni jamaa ajilie machicha yake kwa raha zake
Machicha yananunuliwa kwa 1M? Ngoja na mie nichange kibubu by December nitakuwa nimefikisha dau la Wema
 
Machicha yananunuliwa kwa 1M? Ngoja na mie nichange kibubu by December nitakuwa nimefikisha dau la Wema
Machicha yanaweza kununuliwa hata kwa 100m
Inategemea tu na uwezo wa kufikiri wa mnunuzi na uwezo wa ushawishi wa muuzaji!
Watu wananunua uchafu kwa mabilioni huku wakiamini wamenunua almasi unashangaa machicha kununuliwa kwa 1m?
Iwe iwavyo matapeli watadumu kwa sababu malofa na mafala wanazaliwa kila kukicha
 
hamna kitu hapo hilo jamaa lenyewe bonge la pimbi tena inawezekana punga huko dubai,huwa linaandikaga utumbo mpaka basi insta,juzi hapa lilipeleka mzigo poda mahali huko naona ndo huto tudola limerudi kutanua na huyo sweetpapuchi wenu.
kwanza jamaa simjui kabisa kumbe watu wanamfahamu picha tu ndio comedy tosha
 
Kwa kweli wanaume wa dar nikazi tatizo lenu ni lishe au.Mara kibamia Mara sindano.
Huyo ndio yule mwanaume wa Dar aliyekuwa anakoroma kitandani na kumuacha mtoto kaboreka mpaka anapata muda wa kupiga selfie?
Yaani wanaume wa Dar sijui wakoje, yaani hata hii picha jamaa anaonekana anarembua yaani kazidiwa na Wema hapo kitandani. Hovyo sana wanaume wa dar.
Ni dharau sana na ni tusi kubwa sana kwa mwanaume uko kitandani na mtoto eti mtoto ana nguvu ya kunyanyua camera na kupiga selfie. Piga shoo mtoto asiwe na nguvu hata ya kunyanyua kwapa.
 
Uhalisia upo hivii!
Hapo Wema anagonga Ela then baadae anakinukisha kisha Wanaachana.
Reference; Uwoya na Janjaro
 
Ni Wema huyu huyu wa Sepenga au kuna mwingine unayemuongelea?
 
Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town.
Kwa wale mlokuwa mnangojea wema nafasi ishajazwa na soon..
Ni macho yangu au wamefanana,kuna clip ya jamaa na dem wake wamerekodiana jamaa anaomba 0717 dem anamaindi,
Jamaa sio huyu kweli walioiona'
 
Huyo jamaa atakuwa bwege ama mtu wa kuja tu. Siamini mwanamme mwenye akili timamu anaweza oa mwanamke kama Wema, siamini hata kidogo. Nahisi hii itakuwa a movie scene ya sinema yake mpya. Wema si mwanamke wa kuoa hata kidogo, ni kiburudisho tu cha wote.
 
Back
Top Bottom