Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Mnoo...higher extent yaani sio kwa kujidhalilisha huku.@simara namsubiri aje anipe koment yake Leo kaumbua watu kaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] mi sasa hv namchukulia kawaida tu
Haaahaaa...Simara hana usemi kabisa!

Simara
 
Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town.
Kwa wale mlokuwa mnangojea wema nafasi ishajazwa na soon..
Bashite kaisuka hii move ili mtoke kwenye ishu ya Mo na huyu demu asivyo na akili anakubali kujidharirisha kwa maslahi ya Wengine.....bora kupata akili kuliko mata.ko makubwa😎
 
Watu washamshtukia na wamesema hivyo.. hujaona huko kwa mange alichipost jana
Bashite kaisuka hii move ili mtoke kwenye ishu ya Mo na huyu demu asivyo na akili anakubali kujidharirisha kwa maslahi ya Wengine.....bora kupata akili kuliko mata.ko makubwa😎
t
 
Duuuuh wema jamaniii mbona mi ududu mmoja unanitoa jasho wewe hzo dudu zotee kwa mwaka mmoja tuuu hazihesabiki????Oooohhh
Hiyo ni hobby dadangu. Nasikia Wema anapompenda mwanaume mara ya kwanza inakuwa zaidi ya anavyopendwa na mama yake. Tatizo wanasema yeye hukinai haraka. Kwahiyo kukaa na mume mmoja kwake ni shida. Mara nyingi hilo ni tatizo la kisaikolojia akidhani atampata ambaye ni zaidi ya aliye naye. Matokeo yake uanendelea kutafuta wapya ila unalotaka hulipati. Hilo ndo tatizo linamsumbua Wema. Kwa maana nyingine ana pepo la ngono.
 
Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…