Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Huko ig katuonesha kuwa kashapata mme wake mtarajiwa..namwombea heri kwa hilo na Mungu amfanyie wepesi afikishe kile anachokutegemea..ni wema na pck now ni new couple in town.
Kwa wale mlokuwa mnangojea wema nafasi ishajazwa na soon..
Okay. how interesting.
 
hata aliyemtoa bk alikuwa ni future hb, mwanamke ni mtu wa kuimagine muda wote, and u can't stop her from dreaming. Mwanamke unaweza mtongoza leo, kesho akazaanza kuperuz vazi la harusi. Mungu awasaidie sana.
πŸ™πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Ahaaaahaaaa...eti vazi la harusi! Nimecheka kifwalaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu anadai kuwa atamuoa ili aendelee kut0mB@ bure bila kulipia hata senti moja. Mungu anamuona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…