Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Au ndio jina ya muvi wanayo act ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhKipind nipo olevo kuna mwalim wa geography mchikichin alkua anampa sifa wema kuwa "ni demu ya watanzania,shemeji ya watanzania" nilivyopata smatifoni ndo nikaelewa alkua anamaanisha nini.
Who cares?Baada ya Kusherekea Siku yake ya Kuzaliwa kwa Kutimiza Miaka 30 Kwenye SIku ambayo alizindua Movie yake Mpya ya DAD aliyofanya na Msanii Kutokea Nchini Ghana iam_vanvicker , Miss Tanzania 2006 Mrembo wemasepetu ameamua kuweka wazi kuwa Ataingia Kwenye Ndoa Hivi Karibuni Kupitia Page yake ya Instagram yenye Followers zaidi ya Milioni 4, Wema ameweka Picha akiwa na Mwanaume ambae amemuandikia Caption kuwa MUME WAKE MTARAJIWA Huku wakiwa Katika Pozi la Pamoja Kwenye Picha waliyopiga.View attachment 901189
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hayo manyonyo au six pack?
Weka CV yake humuDah!! huyu si pck ama?!😂😂..kafkaje huku
Huyo ndio yule mwanaume wa Dar aliyekuwa anakoroma kitandani na kumuacha mtoto kaboreka mpaka anapata muda wa kupiga selfie?Baada ya Kusherekea Siku yake ya Kuzaliwa kwa Kutimiza Miaka 30 Kwenye SIku ambayo alizindua Movie yake Mpya ya DAD aliyofanya na Msanii Kutokea Nchini Ghana iam_vanvicker , Miss Tanzania 2006 Mrembo wemasepetu ameamua kuweka wazi kuwa Ataingia Kwenye Ndoa Hivi Karibuni Kupitia Page yake ya Instagram yenye Followers zaidi ya Milioni 4, Wema ameweka Picha akiwa na Mwanaume ambae amemuandikia Caption kuwa MUME WAKE MTARAJIWA Huku wakiwa Katika Pozi la Pamoja Kwenye Picha waliyopiga.View attachment 901189
Quote yako imepotea kama Mo...[emoji23][emoji23] kwanini delete?? Naona notification ila yenyewe siionj[emoji23] [emoji23] [emoji23]