Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Kipind nipo olevo kuna mwalim wa geography mchikichin alkua anampa sifa wema kuwa "ni demu ya watanzania,shemeji ya watanzania" nilivyopata smatifoni ndo nikaelewa alkua anamaanisha nini.
Duh
 
Dah!! huyu si pck ama?!πŸ˜‚πŸ˜‚..kafkaje huku
 
Who cares?
 
Asipotee kusikojulikana tu huyo mume wake...yaani aolewe soon
 
Huyo ndio yule mwanaume wa Dar aliyekuwa anakoroma kitandani na kumuacha mtoto kaboreka mpaka anapata muda wa kupiga selfie?
Yaani wanaume wa Dar sijui wakoje, yaani hata hii picha jamaa anaonekana anarembua yaani kazidiwa na Wema hapo kitandani. Hovyo sana wanaume wa dar.
Ni dharau sana na ni tusi kubwa sana kwa mwanaume uko kitandani na mtoto eti mtoto ana nguvu ya kunyanyua camera na kupiga selfie. Piga shoo mtoto asiwe na nguvu hata ya kunyanyua kwapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…