Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Huyu ndio mume ajae wa Wema sepetu

Hana usemi....ila anasisitiza eti bidada kabakiza kichaa tu
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kweli maana madushe ya kila aina yamepita,ila wema katika list ya wanaume aliyepoteza ni clement wa ikulu maana aimfungulia endless fame ofisi zaidi ya milion 100 hadi receptionist anatumia MACNTOSH,Audi Q7,mjengo wa k/nyama wa milioni 400 samani za ndani kama zote 50m,Mark X,Harrier etc bahati haiji tena.
 
dahh anajiponzaga kwa kupost mamboya ndani..haya tuone sinema episode 9....jamaa kakaa mkao wa kujisevia halafu asepe..future husband wa ukweli huwezi kubali post za kipumbavu kama hizo
hamna kitu hapo hilo jamaa lenyewe bonge la pimbi tena inawezekana punga huko dubai,huwa linaandikaga utumbo mpaka basi insta,juzi hapa lilipeleka mzigo poda mahali huko naona ndo huto tudola limerudi kutanua na huyo sweetpapuchi wenu.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀 kweli maana madushe ya kila aina yamepita,ila wema katika list ya wanaume aliyepoteza ni clement wa ikulu maana aimfungulia endless fame ofisi zaidi ya milion 100 hadi receptionist anatumia MACNTOSH,Audi Q7,mjengo wa k/nyama wa milioni 400 samani za ndani kama zote 50m,Mark X,Harrier etc bahati haiji tena.
jamaa anauza vihepeyai siku hizi kweli mbunye ipe saluti
 
hamna kitu hapo hilo jamaa lenyewe bonge la pimbi tena inawezekana punga huko dubai,huwa linaandikaga utumbo mpaka basi insta,juzi hapa lilipeleka mzigo poda mahali huko naona ndo huto tudola limerudi kutanua na huyo sweetpapuchi wenu.
Huyu bwana mwezi jana alikuwa dubai na irene uwoya,
 
Bongo raha sana yaan mtu na papuchi ishaliwa ndio anakumbuka kutambulisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hapo amna cha couple wala nn jamaa kashapata alichotaka hapo anasubir tu mda ale Chaka.
Aisee mkuu ulkua kwenye akili yangu
 
Back
Top Bottom