Huyu ndio Mwanadada Hurrem Sultana wa Tamthilia ya Sultan

Hurrem is good jaman, ana confidence ya hatari....napenda pale anapo vuta pumzi na kuitoa kwa nguvu hasa akikasirika!
I tried several times...it works kumbe.
 
Sio mama mkwe tu na mahidevrian yule mama ake mustafa, kutoka mtumwa kua suriya mdogo mpaka mke halal wa sultan anastahili japo sultan angejua mkewe ana mambo nyuma ya pazia angelimwa talaka

Kwani sultan hajui yanayoendelea?au anaona mkewe anaonewa tu,haoaf nimeona baada ibrahim pasha atachinjwa kichwa
 
Kwani sultan hajui yanayoendelea?au anaona mkewe anaonewa tu,haoaf nimeona baada ibrahim pasha atachinjwa kichwa
Hajui kama hurrem na ibrahim ni mahasim, hajui sababu ya kuonewa mkewe ni nini, hajui hurrem pia anahusika na mambo baadhi kwenye kasri lake kama mchezo aloucheza na nora yule suriya wa mustafa

Ibrahim pasha atauliwa tena sultan ndio anahusika, na si ibrahim tu hata hadija atajiua validen atakufa, mustafa atakufa, mehemet atakufa, na sultan mwenyewe atakufa.
 

[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serim atachukua nchi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama mikakati,mpinzani wa Ibrahim Pasha...Dada anajiamini huyoo..
Tungekuwa hivyo wanawake wote,michepuko bye bye kwa waume zetu...Suuuleeeiiman(in Hurrem voice)
 
Mama mikakati,mpinzani wa Ibrahim Pasha...Dada anajiamini huyoo..
Tungekuwa hivyo wanawake wote,michepuko bye bye kwa waume zetu...Suuuleeeiiman(in Hurrem voice)
Ndio mjifunze sasa na kuwa wabunifu muda wote kwenye mapenzi, mwanamke ukisimama vema kwenye idara zako wanaume hatuna ujanja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eeeeeeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mustapha ni mtoto wa ibrahim ..mama yake mustapha alichukuliwa na sultan angali ana mimba ..na iyo ni siri so ikijulikana mustapha atachinjwa pamoja na mama yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii tamthilia wao wamecheza 2011-2014 kifupi kama ni mkwanja walishavuta na wamesahau mie sijaipenda tu walivyoingiza lugha ya kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…