Huyu ndio Mwanadada Hurrem Sultana wa Tamthilia ya Sultan

Huyu ndio Mwanadada Hurrem Sultana wa Tamthilia ya Sultan

Tunalo la kujifunza. Wenzetu wanasomea sanaa. Hapa kwetu...mmmh.
 
Hizi text zinanitia hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana nipo mapumziko mwezi wa pili sasa , nadhani unaelewa sababu ni nini.

Next time nitakujoin.
Haaaahaaaa....tulia mama, bado kidogo tu utajiachia!

Daaah huwaga ukiwa hali hiyo ...ukisikia bata huwa inaumajee[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23]

Most welcome dear!
 
Mustafa ni mtoto halali wa sultan, kifo cha Mustafa kitatokana na fitina za Hurreim na Hurreim atapoteza watoto wawil kutonakana na kofo cha Mustafa.
Mustafa atataka kumpindua Baba yake,
Adhabu yake itakua ni kifo.
 
Mimi natamani kumjua aliyeingiza/kutia sauti ya Valide Sultana
Tafuta jina la Godliver Gordian,
Pia ndie alieigiza sauti ya Dulga Dave Patel (D.D) kwenye tamthilia ya Jamai Raja.
 
Kuna watu mnaamini kuwa KUNUKA, KUTOCHANA NYWELE, KUPAUKA na DOMO LENYE MENO YA NJANO ndio uanaume. Yaani usioge ukajipaka marashi kwa kuwa eti wewe ni mwanaume. Basi we endelea tu kunuka kama beberu la mbuzi, wife akikutana na tunaofua chupi atakukimbia.

fundi bishoo , kuangalia tamthilia ya SULTAN ni namna nzuri ya kujifunza historia ya Ulaya. Suala la uanaume wa Dar (ambako wake zenu wakifika tunawadaka kwa chips mayai) sijui linahusianaje. Sultan sio TELEMUNDO fundi
Hii Tamthilia ni Historia Ya Ottoman Empire (Dola ya kiislamu iliyotawala miaka hiyo ya Nyuma Kama ilivyokuwa Marekani kwa sasa)
 
Hurem sultana sultana kigogo jeshi la mtu mmoja nimependa namna alivyo igiza yeye na ibrahim ndio wanao ongeza mvuto wa hii tamthiliya.
 
If
Kabisa mwanamke anayejiamini wanawake wote tungekua na confidence kama yake ingependeza sana

If you are beautiful, smart, intelligent, and you have a pussy, then you can rule the world.

Hii quote niliwahi iona sehemu
 
Back
Top Bottom