Huyu ndio Mwanadada Hurrem Sultana wa Tamthilia ya Sultan

Naitafuta niangalie mwanzo kabisa ,naipendaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante mkuu kwa uzi huu na nimeamua kuuweka katika sauti na picha katika mfumo wa video kwakua nimependa info ulizoandika.

Credit zako nimekupa.


 
Mustafa ni mtoto halali wa sultan, kifo cha Mustafa kitatokana na fitina za Hurreim na Hurreim atapoteza watoto wawil kutonakana na kofo cha Mustafa.
Atakufa jamanii kazi ipooo
 
Ingekua mimi nimepta huo mualiko dah aisee huwa jiran tuu akinialika naenda na kijiko changu sijui nini kingetokea ... Ila wasingenialika ... TeNa
 
Hawa waigizaji wamefanya kazi nzuri sana, aidha hata Azam waliotia sauti za Kiswahili wamefanya vyema sana kana kwamba hata sisi tusio elewa lugha iliyotumika tunafurahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…