Huyu ndio Mwanadada Hurrem Sultana wa Tamthilia ya Sultan

Mimi natamani kumjua aliyeingiza/kutia sauti ya Valide Sultana

anayeigiza sauti ya valide sultana ni muigizaji wa kitanzania anayefahamika kwa jina la godliver.

huyu hapa...kama hutojali m-follow instagram.

NB:
ukiondoa mastaa wa bongo movie wanaofamika sana kwa maskendo ya hapa na pale,sauti ya kiswahili katika tamthilia ya sultan inaigizwa na wasanii wenye vipaji vya hali ya juu sana ila hawafamiki na watu wengi.
 
Hahahha me sumbula zaidi, eti maskini akipata makalio hulia pwata pwata pwata ahahahhahaha
Ila Sumbula abadili tu utembeaji,
Sio ule kama kabanwa na haja kubwa
 
Kifo chake kitaleta mgogoro mkubwa sana kwenye himaya ya Ottman. Hata watoto wa Hurreim waliumia sana.
Simpendi Hurrem naona ni mwanamke ambaye yupo radhi afanye chochote ili afanikiwe.

Ni aina ya mwanamke akiingia kwenye familia ya watu anaisambaratisha ili tu yeye awe juu.
 
Simpendi Hurrem naona ni mwanamke ambaye yupo radhi afanye chochote ili afanikiwe.

Ni aina ya mwanamke akiingia kwenye familia ya watu anaisambaratisha ili tu yeye awe juu.
Upooo? Miss u
 
Simpendi Hurrem naona ni mwanamke ambaye yupo radhi afanye chochote ili afanikiwe.

Ni aina ya mwanamke akiingia kwenye familia ya watu anaisambaratisha ili tu yeye awe juu.
Hata mimi namchukia kupita kiasi.
 
Zileee habari zetu hakuna[emoji23][emoji23]

Kuna za kawaida tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....kwenye udaku uniite!

Ngoja niendelee kula bata na hubby hapa!
 
Appreciate wangu...I wish ningekuita hapa tupige mambo yetu!

Niko over rejoice[emoji91] [emoji91] [emoji126] [emoji126]
Hizi text zinanitia hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana nipo mapumziko mwezi wa pili sasa , nadhani unaelewa sababu ni nini.

Next time nitakujoin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…