Haaaahaaaa....tulia mama, bado kidogo tu utajiachia!Hizi text zinanitia hasira[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maana nipo mapumziko mwezi wa pili sasa , nadhani unaelewa sababu ni nini.
Next time nitakujoin.
mkuu bado hujafika tunatumia umem wa maviVp mkuu kwani huko umeme wa REA ushafika huko mkoani?
Mustafa atataka kumpindua Baba yake,Mustafa ni mtoto halali wa sultan, kifo cha Mustafa kitatokana na fitina za Hurreim na Hurreim atapoteza watoto wawil kutonakana na kofo cha Mustafa.
Tafuta jina la Godliver Gordian,Mimi natamani kumjua aliyeingiza/kutia sauti ya Valide Sultana
Mustafa atataka kumpindua Baba yake,
Adhabu yake itakua ni kifo.
Ndio mjifunze sasa na kuwa wabunifu muda wote kwenye mapenzi, mwanamke ukisimama vema kwenye idara zako wanaume hatuna ujanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti eeh!!Kumbe
Hii Tamthilia ni Historia Ya Ottoman Empire (Dola ya kiislamu iliyotawala miaka hiyo ya Nyuma Kama ilivyokuwa Marekani kwa sasa)Kuna watu mnaamini kuwa KUNUKA, KUTOCHANA NYWELE, KUPAUKA na DOMO LENYE MENO YA NJANO ndio uanaume. Yaani usioge ukajipaka marashi kwa kuwa eti wewe ni mwanaume. Basi we endelea tu kunuka kama beberu la mbuzi, wife akikutana na tunaofua chupi atakukimbia.
fundi bishoo , kuangalia tamthilia ya SULTAN ni namna nzuri ya kujifunza historia ya Ulaya. Suala la uanaume wa Dar (ambako wake zenu wakifika tunawadaka kwa chips mayai) sijui linahusianaje. Sultan sio TELEMUNDO fundi
Kabisa mwanamke anayejiamini wanawake wote tungekua na confidence kama yake ingependeza sana
Hapo kwa underline hapo. loooh!!!!If
If you are beautiful, smart, intelligent, and you have a pussy, then you can rule the world.
Hii quote niliwahi iona sehemu