Huyu ndio mwanamke Bill gates alimpenda tangia high school .

Uyo nae anataka tu kujifia mapema na uzee wote ule wanaachana ili iweje.
 
Ataishi kwa msaada wa Mungu.
Benny Hiny naye aliachana na mkewe alidunda tu japo baada ya miaka walisuluhishwa
Mpango wa Mungu sawa ila kupitia mtumishi wake mwene maono nasema
 
Melinda alikubali kumpea bill gates huyu mwembamba coz alijua wembamba ni sex material so yeye atakuwa wife material then huyu atakuwa kiburudisho cha Bill gates.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…