Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

AISEE UNGEKUWA NA CHURA NINGEKUJA PM, NNACHITAKA HUNA
 
Hata kwenye mipaka yote ya Tanzania, ukivuka tu mpaka hatua moja unakuwa umeishi nje ya nchi. Ungeitaja nchi na muda wa kukaa huko
 
Nacheka kingerezaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kila la kheri
 
Reactions: BAK
Binaadam sehemu fulani ni zao la jamii inayomzunguka kuanzia ngazi ya familia

Labda tumuulize mtoa mada kwa vigezo hivyo je, baba, kaka .wajomba zake wanazo sifa hizo (ukitoa kigezo cha umri) pia nao kwa ambao hawajaoa wakitaka kuoa na wakapimwa ktk vigezo hivyo wata 'fit ' au labda bimkubwa wake alivyotaka mume alimpima baba yake kwa vigezo vyote hivyo na vyote akawa navyo, kama hawana vyote jua tu matarajio hapa yamepandishwa sana na yatapelekea bonge ya 'stress' kwa muhusika
 
Tangazo lako limekosa picha tu,ungeweka na picha ingenoga zaidi.Ila inaonekana very selective.
 
Kiba100 au hogo ujasema mana nasikia mna chaguo lenu cku izi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…