Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu kama hauna sifa ni hauna tu. Usimalizie stress zako kwangu.Una roho mbaya sana, baada ya kuona michepuko yako yote haifikii vigezo hata nusu ndo unajifanya kulipenda tangazo.
Hili tangazo nalifananisha na kama nafasi za ukomando zingekuwa zinatangazwa.