Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Sifa zote ninazo, ila Kucha ninazo baadhi ya vidole,
Sijui hapo utanisaidiaje?
 
Yaani wewe inabidi tu ukaweke order ya ujipatie doll lako uliunde upendavyo ujinafasi ,

Kwa vigezo hivyo utazeeka na utamu kama mua,

Ila wacha muda ufike , utapunguza vigezo na masharti kidogo kidogo na mwishowe utatamani yoyote bila kujali anatoka wapi au ana kazi au hana au na wala hutajaki kuhusu elimu yake nk
 
Hali tete
 
Siwezi weka masharti yote hayo km mganga wa tunguli
Hahahahhh.....huu ujumbe uwafikie wote wanao leta matangazo yao ya kutafuta nchumba.....punguzen mashart tuu nchumba mtapata

By kapeace
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…