Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Utapoteza muda sana ukisubir wanaume wenye vigezo

Wanaume wengi hawana vigezo hvyo na wengi wenye vigezo hvyo unavyovitaka ni waume za watu

Kazi ya mwanamke ni kumkamilisha mwanaume

Ukimpata mwanaume ambaye ni mchafu mfanye awe msafi ni kazi yako hyo kufanya awe msafi kuna wengine kama mimi ni wavivu kufua tunavaa nguo siku tatu Lakin nikipata mwanamke msafi kama wewe anayenifulia nguo kila siku lazma niwe msafi

Ukipata mwanaume ambaye hana ajira kama mimi tunaomiliki smartphone tu na laptop za mkopo kama ulivyotusema msaidie kutafuta ajira, nina uhakika akipata hawezi kukuacha


Ukipata mwanaume ambaye mwenye ila hana kipato cha ziada kaa nae chini mjadili ni jinsi gan mnavyoweza kuongeza kipato cha ziada ni kazi yako hyo mwanamke behind every successful man there's a woman

Na ukimpata mwanaume ambaye hajui kutoa zawadi kama mimi mfundishe kukuletea zawadi mwambie napenda kila unaporud kutoka kaz uwe unaniletea kitu

Mapenzi sio kazi wala ajira, hvyo ni vitu vya ziada tu kwenye Mapenzi na haimaanishi km mtu akiwa navyo bas ndo guarantee ya ndoa yenu kuwa na furaha

Unataka mwanaume mwenye umri 34+,kweli dada angu mtu awe na umri huo afu awe hajaoa like seriously?? Wengi wa katika huo umri unaoutaka wako kwenye ndoa, na wengine utawakuta wana watoto wameachika wanatafuta mtu wa kulea nae watoto

Lakin pia mapenzi sio umri kikubwa ni upendo tu dada angu

Mwanamke ni msaidizi wa mwanaume kuna mambo ambayo mwanaume pamoja na nguvu zake hawez kufanya peke ake ndio maana Mungu alipomuumba Adam akamfanyia na msaidizi

Mwisho Kabisa

Kazi la kutafuta mwanaume sio kazi yako ni ya Mungu.... Muombe Mungu akupe mwanaume mwenye hizo sifa na akikupa ambaye hana hizo sifa mfanye awe nazo,,,, ukitumia akili zako utasubir sana

Ni pm tuyajenge vizuri
 
88.7% ya vigezo vyako nnavyo, ila nawewe taja umri wako, pili unachura? Tatu na mwishi ww ni bikra bado??
 
88.7% ya vigezo vyako nnavyo, ila nawewe taja umri wako, pili unachura? Tatu na mwishi ww ni bikra bado??
Hiyo 11.3% unamwachia nani mkuu, mwenzio anataka 100% ,,,,,tayari huna vigezo vyote
 
Duh!
 
Umenena vyema
 
Una roho mbaya sana, baada ya kuona michepuko yako yote haifikii vigezo hata nusu ndo unajifanya kulipenda tangazo.

Hili tangazo nalifananisha na kama nafasi za ukomando zingekuwa zinatangazwa.
hahaaa
 
Una umri gan wew, maana umetaja umri wa mwanaume unayemtaka alaf wa kwako hola! Stori haijabalance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…