Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kasomea usafi ( joke)Huyu dada anashangaza, mwanaume anakuwaje msafi kupitiliza?!, anasema yeye ni graduate lakini anashindwa kuelewa baadhi ya mambo ya msingi sana.
Why am the only person thinking huyu jamaa si MWANAMKE bali ni MWANAMUME .
Why am the only person thinking huyu jamaa si MWANAMKE bali ni MWANAMUME .
wacha polojo ko.j.o...a ulale mkuu100% amuumbe wa kwake amuweke ndani
my dia sio kwa povu hili, kula ugali ulaleNi mwanamke huyo.Mwanamke ndiye anayeweza kuwa na fantasy dreams kama hizo.(I know some girls)
Yani kaanza na kusema atampenda mother in law..like seriously?how can u promise to love someone you haven't met?yani ni unafiki na chambo tu.
The only reason mtu atampenda mtu ambaye hamjui kisa tu ni full package ni kwasababu she is desperate and nothing else.
That kind of guy kama huwezi kumu attract in real life how can one do so in social media??????by merely listing the goodie goodies??? Sjui msafi na godfearing?Men really fall for that ??? Lol smh
Huyu ni mwanamke tena most of them kwenye dates wanaongeaga sana about those future plans kama kufungua one bank accout na sjui kumpenda mamamkwe.Rly? Vitu vingine are just meant to shown rather than be talked about.
Au anaongea those perfect things only.Yani those kinda ppo wanapenda kujionesha hawana kasoro.
(I hope haangalii Korean series.)
Sjui anabiashara sjui HighIQ then a guy atakayemsupport???
Then she misses to be kissed n hugged??? Sounds desparate to me.Sjui hata kwanini kaandika.HUGE TURNOFF.
She better have enough sex first then a rethink if that's who she rly thinks she's going to get through SOCIAL MEDIA.
Those kinda guys,tena msafi na godfearing,they don't fall for craps in social media.
Also kama kweli ana high IQ angetakiwa kufigure out kwanini those tall and clean god fearing guys hawamfuati in real life???
Sije akawa anajifungia ndani.
Its like kuomba Mungu akupe a rich man halafu you are not in the circles of the rich,unajifungia ndani.Expecting a Christian Grey?lol.Never.
Ndomaana celebs wanaishia na celebs wenzao.Circles baby.
Advice:Ni vizuri kabla mtu hajaandika tangazo la kutafuta mchumba akaji evaluate kwanza.
Also full package ina include kasoro.Kama anaweza kuandika strengths zake lukuki nina imani ana uwezo wa kuandika na kasoro mbili tatu.Too much of the goods is no more attractive.
ungejua pm ilivyojaa. ahaaa tulia hivyo hivyo wacha nipate kitu roho inataka,kunywa mbege ulale diaChukua mbao uchonge unavyotakata huyo mume awe. Lakini kama ni binadamu utasubiri sana.