Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

Duu!umesema hutaki mhaya,na wewe kabila gani?ila hizo unazotaka huenda bado hajazaliwa endelea kusubili ukifikisha miaka 40 ndipo utakapojua kachumbali ni mboga au kiungo
meza quinin ulale dia
 
Kigezo cha kuwa na mtoto kimefanya ukose bahat ya kuwa nami kwa maana Nina mtoto nje ya nchi (Uingereza) nilizaa na mcanada mmoja ivi ambaye anaishi uko uinger...
 
g
Kigezo cha kuwa na mtoto kimefanya ukose bahat ya kuwa nami kwa maana Nina mtoto nje ya nchi (Uingereza) nilizaa na mcanada mmoja ivi ambaye anaishi uko uinger...

byeee gnt wacha nikukose maumivu ukienda kusalimia mtoto mnapasha kipolo yatanishinda
 
Mkuu kama ni malaika unawataka siungeenda mbinguni tu kuliko kujinyanyasa kuandika uzi mrefu kiasi hiki na wakati unajua kabisa huyo malaika hapa duniani hayupo.
 
Mkuu kama ni malaika unawataka siungeenda mbinguni tu kuliko kujinyanyasa kuandika uzi mrefu kiasi hiki na wakati unajua kabisa huyo malaika hapa duniani hayupo.
nijibu bila gazba hapo juu kipi ni kigezo kigumu? au kwa kuwa ni vingi? hifezo hivyo kila mtu anavyo utata ni jinsi ya kuvitumia.

pm imejaa wacha niwafanyie interview niwachambue kama karanga. hivi nani kakwambia hawapo? hao unaoishi nao ndo wako jf so tulia mkuu
 
Dah....Sifa zooote anakuwa nazo....kesho unarudi hapa unalialia tena eti msuli hauwi mgumu...haushibi.....mbona nyie...huwa mnasahau vitu vitu vya msingi sana? Sifa za mwanaume ni 3....awe na pesa, akili na nguvu za 'mwili'....labda kama unamtaka kwa ajiili ya outings tu[emoji13] [emoji87] [emoji41]
 
Haya mkuu. Ila roho inaniuma sana.. kwanini lakini mnatunyanyapaa wanaume wafupi?[emoji30] [emoji30] [emoji30]
 
vigezo vyangu ukivichambua utagundua kuwa ulichokisema kimeongelewa tiyari. kalale mkuu.
 
Na wewe weka sifa zako ili tuone kweli unamfaa huyo utakaye...
 
Wakati nasoma nlidhani natizama bongo movie flani hv,,, kumbe tangazo,,, wapo kina mlela na Hemedy wazee wakuact real life
 
Kuna Dada mmoja leo ameandika "hivi kuna mwanamme ambaye ametatafuta mwanamke wa kumuoa hajampata had Ieo" sasa kwa masharti kama haya unafikiri utampataje
 
Duh nimekosa nafasi sifa zote nnazo upendo tu ndo sina. Jamani mniombee nafasi [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…